• HABARI MPYA

  Saturday, June 15, 2024

  WAWILI WAFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SIMBA KWA TUHUMA KUKOSA UADILIFU


  KLABU ya Simba imefungia kujihusisha na masuala ya klabu hiyo wanachama wake wawili, Mohamed Khamis 'Dk. Mohamed' na Agness Daniel 'Aggy Simba' kwa tuhuma za kufanya makosa ya kiuadilifu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAWILI WAFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SIMBA KWA TUHUMA KUKOSA UADILIFU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top