• HABARI MPYA

  Sunday, June 30, 2024

  YANGA SC YASHINDA 4-1 NA KUTWAAA KOMBE LA SAFARI LAGER


  MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC jana walifanikiwa kutwaa taji la Safari Lager Cup baada 
  ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Kombaini ya Safari Champions katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. 
  Katika mchezo huo ambao Yanga ilitumia wachezaji wake wa timu ya vijana na wachache wa kikkosi cha kwanza akiwemo beki Mkongo, Joyce Lomalisa Mutambala - mabao yake yalifungwa na Omary Mfaume, Shekhan, Prosper na Hussein.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YASHINDA 4-1 NA KUTWAAA KOMBE LA SAFARI LAGER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top