• HABARI MPYA

  Wednesday, June 05, 2024

  YANGA SC YAZAWADIWA NUSU BILIONI KWA KUSOMBA MATAJI


  MKURUGENZI  Mtendaji wa Kampuni ya Sportpesa Tanzania, Tarimba Gulam Abbas ambaye pia ni Mbunge wa Kinondoni, Dar es Salaam akimkabidhi Rais wa Yanga SC, Hersi Ally Said mfano wa Hundi yenye Thamani ya Tsh 537,500,000/= kama sehemu ya Zawadi kwa mafaniko ya msimu ya kkabu hiyo.
  Pamoja na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayojulikana kama CRDB Bank Federation Cup - Yanga pia ilifika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kutolewa na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini  kwa penaltı 3-2 kufuatia sare ya 0-0 nyumbani na ugenini.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAZAWADIWA NUSU BILIONI KWA KUSOMBA MATAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top