// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC YARIDHIA PRINCE DUBE KUONDOKA BAADA YA KUKAMILISHA TARATIBU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC YARIDHIA PRINCE DUBE KUONDOKA BAADA YA KUKAMILISHA TARATIBU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Saturday, June 29, 2024

  AZAM FC YARIDHIA PRINCE DUBE KUONDOKA BAADA YA KUKAMILISHA TARATIBU


  KLABU ya Azam FC imeridhia kuondoka kwa mshambuliaji wake Mzimbabwe, Prince Mpumelelo Dube (27) kufuatia kukamilisha taratibu za kuvunja mkataba wake.
  Dube alijiunga na Azam FC Agosti mwaka 2020 akitokea The Highlanders ya kwao, Bulawayo baada ya awali kuzitumikia SuperSport United na Black Leopards kwa vipindi tofauti.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YARIDHIA PRINCE DUBE KUONDOKA BAADA YA KUKAMILISHA TARATIBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top