• HABARI MPYA

  Wednesday, June 05, 2024

  RAIS WA FIFA AIMWAGIA PONGEZI YANGA KUTWAA TENA UBINGWA WA TANZANIA


  RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa klabu ya Yanga kwa kutwaa kwa mara nyingine tena ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA FIFA AIMWAGIA PONGEZI YANGA KUTWAA TENA UBINGWA WA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top