• HABARI MPYA

  Monday, June 24, 2024

  MBWANA MAKATTA KOCHA MPYA WA TANZANIA PRISONS


  KLABU ya Tanzania Prisons imemtambulisha Mbwana Makatta kuwa Kocha wake mpya Mkuu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
  Makatta mwenye uzoefu wa kufundisha timu mbalimbali za Ligi Kuu kwa zaidi ya miaka 30 - anajiunga na Tanzania Prisons baada ya kuondolewa Pamba Jiji FC kufuatia kuipandisha Ligi Kuu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBWANA MAKATTA KOCHA MPYA WA TANZANIA PRISONS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top