SIMBA SC YATANGAZA RASMI KUACHANA NA HENOCK INONGA BAKA ‘VARANE’
KLABU ya Simba imeachana na beki wa Kimataifa was Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Henock Inonga Baka ‘Varane’ baada ya kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi tangu mwaka 2021 alipowasili kutoka DC Motema Pembe ya kwao, Kinshasa. Huyo anakuwa mchezaji wa sita kutemwa Simba baada ya beki mwingine wa katı, Kennedy Wilson Juma, viungo, Mrundi Saido Ntibanzokiza, Luis Jose Miquissone wa Msumbiji na washambuliaji John Raphael Bocco na Shaaban Iddi Chilunda. Tayari Simba SC imemtambulisha mchezaji mmoja tu mpya, beki chipukizi wa katı, Lameck Elias Lawi (18) kutoka Coastal Union ya Tanga.
FAMACO I Programme spreads to FUFA’s 8 Regions
-
FUFA in association with the Regional Football Associations has confirmed a
full progamme to spread the capacity building courses for Football
Administra...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment