• HABARI MPYA

  Sunday, June 16, 2024

  MWAMNYETO FOUNDATION WAWACHAPA MBEYA ALL STARS 2-1 SOKOINE

  TIMU ya Mwamnyeto Foundation jana iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya All Stars katika mchezo wa kirafiki wa Hisani Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Mabao ya Mwamnyeto Foundation yalifungwa na mshambuliaji Mburkinabe, Yacouba Sogne dakika ya 17 na Dennis Nkane dakika ya 90'+2 baada ya George Mpole kuanza kuifungia Mbeya All Stars dakika ya tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWAMNYETO FOUNDATION WAWACHAPA MBEYA ALL STARS 2-1 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top