• HABARI MPYA

  Saturday, June 22, 2024

  TEAM JOB 'WAIFINYANGA FINYANGA' TEAM KIBWANA MECHI YA HISANI MOROGORO,


  MECHI ya kirafiki ya Hisani baina ya mebeki wa Yanga, Kibwana Shomari dhidiya Dickson Job na rafiki zao imemalizika kwa Team Job kuibuka na ushindi wa mabao 6-2 dhidi ya Team Kibwana jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.   
  Mabao ya Team Job yamefungwa na Hersi Said dakika ya 13, Mzimbabwe Prince Dube dakika ya 27, George Mpole dakika ya 78, Samson Mbangula dakika ya 79 na Edwin Balua dakika ya 90'+4, wakati mabao ya Team Kibwana yote yamefungwa na Simon Msuva dakika ya 30 na 47.
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TEAM JOB 'WAIFINYANGA FINYANGA' TEAM KIBWANA MECHI YA HISANI MOROGORO, Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top