• HABARI MPYA

  Saturday, June 08, 2024

  NYOTA WA PRISONS AFUNGIWA MECHI TANO KWA 'KUMZINGUA' REFA MECHI NA MASHUJAA


  KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa adhabu mbalimbali kwa klabu na wachezaji kwa ukiukaji wa kanuni za mchezo katika mechi za kufungia msimu.
  Kiungo wa Tanzania Prisons, Jumanne Nimkaze Elfadhili ndiye amepewa adhabu nzito zaidi kwa kufungiwa mechi tano na kutozwa faini la Sh, 500,000 kwa kumshambulia refa kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa mjini Mbeya. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WA PRISONS AFUNGIWA MECHI TANO KWA 'KUMZINGUA' REFA MECHI NA MASHUJAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top