• HABARI MPYA

  Friday, June 07, 2024

  AUSSEMS NDIYE KOCHA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS


  KLABU ya Singida Big Stars, zamani Ihefu SC imemtambulisha Mbelgiji aliyewahi kufundisha Simba SC kwa mafanikio, Patrick Aussems (59) kuwa kocha wake mpya Mkuu kwa mkataba wa msimu mmoja.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUSSEMS NDIYE KOCHA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top