• HABARI MPYA

  Saturday, June 08, 2024

  SIMBA QUEENS MABINGWA LIGI KUU YA WANAWAKE TZ BARA


  TIMU ya Simba Queens jana ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Alliance Girls Uwanja wa CCM KIrumba Jijijni Mwanza.
  Ushindi huo unaifanya Simba Queens ifikishe pointi 46 katika mchezo wa 16 ambazo haziwezi kufikiwana timu nyingine – hivyo kurejesha taji ililopokonywa na JKT Queens msimu uliopita ikiwa na mechi mbili mkononi.
  Waliokuwa mabingwa watetezi, JKT Queens wena pointi 37 nafasi ya pili, wakifuatiwa na Yanga Princess pointi 30, baada ya wao pia kucheza mechi 16 kuelekea mechi mbili za mwisho.
  MATOKEO MECHI ZA JANA LIGI KUU YA WANAWAKE TZ BARA
  MSIMAMO LIGI YA WANAWAKE BAADA YA MECHI ZA JANA

     


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS MABINGWA LIGI KUU YA WANAWAKE TZ BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top