• HABARI MPYA

  Monday, June 03, 2024

  LUSAJO MCHEZAJI BORA, MGUNDA KOCHA BORA WA KUFUNGIA MSIMU LİGİ KUU

  MSHAMBULIAJI wa Mashujaa FC ya Kigoma, Reliants Lusajo Mwakasugule (34) ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi wa mwisho, Mei huku Juma Ramadhani Mgunda wa Simba SC akiibuka Kocha Bora.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUSAJO MCHEZAJI BORA, MGUNDA KOCHA BORA WA KUFUNGIA MSIMU LİGİ KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top