• HABARI MPYA

  Thursday, June 20, 2024

  CSKA MOSCOW WATUA YANGA KWA ZOEZI MAALUM

   

  KLABU ya Yanga leo imepokea ugeni wa Maafisa wa klabu ya CSKA Moscow ya Urusi ambao wamekuja kuendesha programu maalumu ya kutambua vipaji vya wanasoka chipukizi nchini.
  Programu hii itaendeshwa na CSKA Moscow kwa kushirikiana na Young Africans Sports Club, itaanza kesho na itafanyika Dar Es Salaam, Tanga na Zanzibar.
  Baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Maafisa hao walikutana na uongozi wa Yanga chini ya Rais, Hersi Ally Said.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CSKA MOSCOW WATUA YANGA KWA ZOEZI MAALUM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top