• HABARI MPYA

  Saturday, June 15, 2024

  AZAM FC YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKA NA TIMU YA WANAWAKE


  ILI kukidhi matakwa ya Kanuni ya Leseni za Klabu na kupata sifa za kucheza michuano ya klabu barani Afrika - klabu ya Azam FC imeingia makubaliano ya ushirikiano na timu ya wanawake ya Singida Fountain Gate Princess kwa mwaka mmoja.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKA NA TIMU YA WANAWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top