• HABARI MPYA

  Saturday, June 22, 2024

  OPA CLEMENT: SIFIKIRII KURUDI UTURUKI, NINA OFA SEHEMU NYINGINE

  MSHAMBULIAJI wa kike wa Kimataifa wa Tanzania, Opa Clement Tukumbuke amesema kwamba hafikirii kurudi klabu ya Besiktas ya Uturuki kwa sababu amepata klabu nyingine Ulaya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OPA CLEMENT: SIFIKIRII KURUDI UTURUKI, NINA OFA SEHEMU NYINGINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top