• HABARI MPYA

  Wednesday, June 19, 2024

  PAMBA YAVUNJA BENCHI NA TIMU NZIMA, KOPUNOVIC KUUNDA KIKOSI KIPYA


  TIMU ya Pamba Jiji FC imevunja benchi zima la Ufundi chini ya kocha mzawa aliyewapandisha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Mbwana Makatta na kumuajiri Mserbia, Goran Kopunovic.
  Sambamba na kuvunja benchi la Ufundi, Pamba Jiji FC pia imeachana na wachezaji wote waliopandisha timu na kumpa jukumu Goran Kopunović, kocha wa zamani wa Simba SC na Tabora United kuunda kikosi kipya cha Ligi Kuu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PAMBA YAVUNJA BENCHI NA TIMU NZIMA, KOPUNOVIC KUUNDA KIKOSI KIPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top