• HABARI MPYA

  Thursday, June 20, 2024

  KENNEDY JUMA NAYE APEWA MKONO WA KWAHERI SIMBA SC


  KLABU ya Simba SC imeendelea kuutambulisha Wachezaji inayoachana nao baada ya msimu na safari hii ni beki wa katı, Kennedy Wilson Juma Ambasa  aliyedumu kikosini tangu Julai 2019 alipowasili kutoka Singida United.
  Kennedy Wilson Juma Ambasa (29) anakuwa mchezaji wa tano kupewa mkono wa kwaheri Simba SC baada ya viungo, Mrundi Saido Ntibanzokiza, Luis Jose Miquissone wa Msumbiji na washambuliaji John Raphael Bocco na Shaaban Iddi Chilunda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KENNEDY JUMA NAYE APEWA MKONO WA KWAHERI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top