// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TAIFA STARS YAIFUATA ZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA JUMANNE NDOLA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TAIFA STARS YAIFUATA ZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA JUMANNE NDOLA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, June 08, 2024

    TAIFA STARS YAIFUATA ZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA JUMANNE NDOLA


    KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kimeondoka leo asubuhi kwenda Jijini Ndola nchini Zambia kwa ajili ya mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya wenyeji, Chipolopolo Jumanne kuanzia Saa Uwanja wa Levy Mwanawasa Jijini Ndola.
    Wapinzani wengine wa Taifa Stars Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026 ni Morocco, Niger, Kongo na Eritrea ambayo imejitoa katika mbio za kuwania tiketi ya Fainali hizo zinazoandaliwa kwa pamoja na Canada, Mexico na Marekani.
    Taifa Stars ilianza vyema kampeni zake za Kombe la Dunia 2026 kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Niger Novemba 18 mwaka jana Uwanja wa Marrakech nchini Morocco, bao pekee la mshambuliaji mzaliwa wa DRC, Kokola Charles William M'Mombwa wa Macarthur FC ya Australia.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS YAIFUATA ZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA JUMANNE NDOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top