// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
RASMI MBAPPE NI MALI YA REAL MADRID HADI MWAKA 2029 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINERASMI MBAPPE NI MALI YA REAL MADRID HADI MWAKA 2029 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
RASMI MBAPPE NI MALI YA REAL MADRID HADI MWAKA 2029
RASMI, klabu ya Real Madrid imemtambulisha mshambuliaji Mfaransa mwenye asili ya Cameroon, Kylian Mbappé Lottin kuwa mchezaji wake mpya kwa miaka mitano ijayo. Taarifa ya Real Madrid imesema; “Real Madrid imefikia makubaliano na Kylian Mbappé kwamba atakuwa mchezaji wa Real Madrid kwa misimu mitano ijayo,”. Mapema Mbappe alipost picha akiwa na vazi la Real Madrid alipokuwa mdogo na nyingine akiwa amepiga na nyota wa zamanı wa klabu hiyo. Mreno Cristiano Ronaldo. PICHA: MBAPPE AKIWA GWIJI WA REAL MADROD CRISTIANO RONALDO VIDEO: REAL MADRID ILIVYOMTAMBULISHA MBAPPE
Morocco upset Argentina in Dramatic Olympics game
-
Morocco secured a wild 2-1 win over Argentina at the start of the Olympic
men’s soccer tournament on July 24 — but not before furious fans invaded
the pi...
FUFA Super8: Sam Ssimbwa to handle Select side
-
A squad of 29 players has been named to feature as Uganda Cranes Select
side in the 2024 FUFA Super 8 Tournament that kicks off on 2nd August. The
squad...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment