// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA QUEENS WAKABIDHIWA UBINGWA WAO LİGİ YA WANAWAKE 2023-2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA QUEENS WAKABIDHIWA UBINGWA WAO LİGİ YA WANAWAKE 2023-2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Friday, June 14, 2024

  SIMBA QUEENS WAKABIDHIWA UBINGWA WAO LİGİ YA WANAWAKE 2023-2024


  TIMU ya Simba Queens imekabidhiwa Kombe lao ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara 2023-2024 baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold Queens Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Simba Queens yamefungwa na Asha Juma Mnunka dakika ya tatu hilo likiwa bao lake la 20 la msimu, Elizabeth Mwambui dakika ya 35 na Asha Rashid ‘Mwalala’ dakika ya 79.
  Simba Queens ilijihakikishia ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake wikiendi iliyopita baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Fountain Gate Princess hapo hapo Azam Complex ilipofikisha pointi 49 ambazo hazitafikiwa na timu nyingine na leo imeongeza tatu na kuwa 52.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS WAKABIDHIWA UBINGWA WAO LİGİ YA WANAWAKE 2023-2024 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top