• HABARI MPYA

  Monday, June 24, 2024

  SIMBA SC KUWEKA KAMBI MISRI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA


  KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka nchini mapema Julai kwenda kuweka kambi katika Jiji la Ismailia nchini Misri kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Afrika.
  VIDEO: AHMED ALLY – AFISA HABARI SIMBA AKIZUNGUMZA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KUWEKA KAMBI MISRI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top