• HABARI MPYA

  Thursday, June 06, 2024

  YANGA YAFUTIWA ADHABU YA TMS, BADO YA KAMBOLE


  KLABU ya Yanga imefutiwa adhabu ya kutosajili kwa kosa la kutoingiza uthibitisho wa malipo ya usajili wa mchezaji kwenye mfumo wa usajili, TMS - lakini bado inakabiliwa na adhabu nyingine kwa kutomlipa mchezaji iliyemuacha, Mzambia Lazarous Kambole.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAFUTIWA ADHABU YA TMS, BADO YA KAMBOLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top