VIONGOZI NA MCHEZAJI TIMU YA WANAWAKE WAFUNGIWA KWA KUPIGA REFA
VIONGOZI na Wachezaji wa klabu ya Ceasiaa Queens wamefungiwa baada ya kumshambulia refa, Agneta Isaac wa Kagera katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania dhidi ya wenyeji, Alliance Girls Juni 11, mwaka huu Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
0 comments:
Post a Comment