TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund usiku huu Uwanja wa Wembley Jijini London, Uingereza. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na beki wa kulia wa Kimataifa wa Hispania, Dani Carvajal Ramos dakika ya 74 na mshambuliaji Mbrazil, Vinícius José Paixão de Oliveira Júnior dakika ya 83 na hilo linakuwa taji la 15 kwao michuano hiyo. GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment