• HABARI MPYA

  Saturday, June 22, 2024

  CLARA LUVANGA: NILIUMIA KUSHUTUMIWA MIMI MWANAUME

  MSHAMBULIAJI wa kike wa kimataifa wa Tanzania, Clara Cleitus Luvanga (19) anayechezea klabu ya Al Nassr ya Ligi Kuu ya Wanawake Saudi Arabia amesema aliumia sana kushutumiwa yeye ni mwanaume kiasi ilimuathiri Kisaikolojia na kushindwa kabisa kucheza wakati huo hadi akaondolewa timu ya taifa ya taifa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CLARA LUVANGA: NILIUMIA KUSHUTUMIWA MIMI MWANAUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top