Mwanzo > LIGI KUU BARA > USAJILI MSIMU MPYA DIRISHA WAZI KUANZIA KESHO HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA USAJILI MSIMU MPYA DIRISHA WAZI KUANZIA KESHO DIRISHA la usajili msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024-25 na madaraja ya chini pamoja na Ligi za Wanawake litafunguliwa rasmi kesho.Mshambuliaji Mzimbabwe ambaye ameondoka Azam FC anahusishwa na vigogo wote wawili, Simba na Yanga - je, ataubukia wapi? Friday, June 14, 2024 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA
0 comments:
Post a Comment