• HABARI MPYA

  Tuesday, June 25, 2024

  UMAKINI DARASANI, STEVE NYENGE KWENYE REFRESHER KOZI YA CAF TANGA


  KIUNGO wa zamani wa Kimataifa wa Tanzania, Steven Nyenge akisikiliza kwa makini mafundisho ya Kozi ya Maboresho (Refresher) ya Diploma B ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) yanayoendelea Kituo cha Ufundi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mnyanjani Jijini Tanga.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UMAKINI DARASANI, STEVE NYENGE KWENYE REFRESHER KOZI YA CAF TANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top