• HABARI MPYA

  Sunday, June 16, 2024

  FEI & BUI WAWAPIGA SAMA KIBA 3-2 MECHI YA HISANI ZANZIBAR

  TIMU ya Fei & Bui jana iliibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Sama Kiba katika mechi ya Hisani kuhitimisha tamasha la Nifuate Uwanja w New Amaan Complex, Zanzibar.
  Mabao ya Fei & Bui yalifungwa na Feisal Salum dakika ya 16, Ibrahim Hamad Hilika dakika ya 19 na Novatus Dismass Miroshi dakika ya 58, wakati ya Sama Kiba yalifungwa na Kelvin John 'Mbappe' dakika ya 24 na Mbwana Samatta dakika ya 72.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FEI & BUI WAWAPIGA SAMA KIBA 3-2 MECHI YA HISANI ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top