Robert Lewandowski akishangilia baada ya kufunga kwa penalti dakika ya 53 kuipatia Buyern Munich bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bayer Leverkusen usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani kwenye mchezo wa Bundesliga. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Niklas Sule dakika ya tisa na Corentin Tolisso dakika ya 19 wakati la Bayer Leverkusen lilifungwa na Admir Mehmedi dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment