Kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Mrisho Ngassa akiruka juu katika mazoezi yake binafsi jana kujiweka fiti kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
Ngassa anafanya mazoez makali mno kuelekea msimu ujao na bila shaka amepania kurejesha heshima yake
Baadaye hujiunga na timu yake, Mbeya City kwa mazoezi zaidi





.png)
0 comments:
Post a Comment