Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Uruguay kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Amerika Kusini leo Uwanja wa Taifa wa Julio Martínez Pradanos mjini Santiago, Chile. Bao lingine la Chile lilifungwa na Eduardo Vargas wakati la Uruguay lilifungwa na Edinson Cavani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CBS execs make a decision on Tony Romo's future after $18m-a-year NFL
analyst's shock arrest... and growing backlash against his bizarre calls in
the commentary booth
-
The 46-year-old former quarterback was pictured in a humiliating mugshot on
Thursday after being arrested for operating while intoxicated in Milwaukee.
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment