• HABARI MPYA

  Tuesday, January 20, 2015

  TAIFA STARS WALIVYOIPASHIA AMAVUBI LEO CCM KIRUMBA

  Wachezaji wa kikosi cha pili cha timu ya taifa ya Tanzania, maarufu kama Taifa Stars Maboresho wakifanya mazoezi Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza leo kujiandaa na mcheezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Rwanda, Amavubi keshokutwa
  Kocha wa Taifa Stars, Mholanzi Mart Nooij (katikati) akitoa maelekezo kwa wachezaji wake leo Kirumba
  Beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' kulia akitafuta maarifa ya kumpita kiungo Salum Telela katika mazoezi ya Stars Maboresho leo
  Kocha Nooij akiongoza mazoezi CCM Kirumba
  Viungo Simon Msuva (kulia) na Said Ndemla kushoto
  Beki Joram Mgeveke akipiga mpira mazoezini

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WALIVYOIPASHIA AMAVUBI LEO CCM KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top