• HABARI MPYA

  Thursday, January 08, 2015

  SIMBA SC NA TAIFA KATIKA PICHA JANA AMAAN

  Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri akiwatoka mabeki wa Taifa ya Jang'ombe katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 4-0.
  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajibu akimtoka beki wa Taifa
  Winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akimiliki mpira mbele ya beki wa Taifa
  Mchezaji wa mechi ya jana, Hassan Kessy wa Simba SC, akimtoka beki wa Taifa
  Kiungo wa Simba SC, Awadh Juma akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Taifa
  Mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma akiwa ameruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya mabeki wa Taifa, huku Mganda mwenzake Juuko Murushid naye kushoto akiwa ameruka pia wakati wa kona

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA TAIFA KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top