• HABARI MPYA

  Sunday, January 11, 2015

  SIMBA SC NA POLISI KATIKA PICHA JANA AMAAN

  Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri akimili mpira mbele ya beki wa Polisi, Mohammed Hajji usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi. Simba SC ilishinda 1-0.
  Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akimlamba chenga Daniel Justine wa Polisi
  Mshambuliaji wa Simba SC, Simon Ssrunkuma akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Polisi, Suleiman Makungu
  Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akikabiliana na kiungo wa Polisi, Adam Juma 
  Mshambuliaji wa Suimba SC, Dan Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Polisi
  Mshambuliaji wq Simba Sc, Elias Maguri akimiliki mpira mbele ya bekinwa Polisi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA POLISI KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top