// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NI RONALDO TENA MWANASOKA BORA WA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NI RONALDO TENA MWANASOKA BORA WA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, January 12, 2015

    NI RONALDO TENA MWANASOKA BORA WA DUNIA

    MSHAMBULIAJI wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameshinda tena kwa mara ya pili mfululizo tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia, Ballon d'O usiku huu mjini Zurich, Usiwsi.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa 29 amewashinda Manuel Neuer wa Ujerumani na mpinzani wake mkubwa, Lionel Messi wa Argentina.
    Ronaldo alitoa mchango mkubwa kwa Real Madrid kushinda mataji manne mwaka jana, akifunga mabao 56 katika mechi 51 vigogo hao wa Hispania wakisomba mataji ya Copa del Rey, Ligi ya Mabingwa, Super Cup ya UEFA na Klabu Bingwa ya Dunia 

    Cristiano Ronaldo akiwa ameshika tuzo yake Ballon usiku huu baada ya kukabidhiwa
    Ronaldo (left) enjoys a selfie with Marta before the FIFA Ballon d'Or Gala on Monday evening


    Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2907063/Cristiano-Ronaldo-wins-Ballon-d-ahead-Lionel-Messi-Manuel-Neuer.html#ixzz3OdX0KerW
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NI RONALDO TENA MWANASOKA BORA WA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top