// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LOW AWA KOCHA BORA WA DUNIA 2014, ANCELOTTI CHALI! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LOW AWA KOCHA BORA WA DUNIA 2014, ANCELOTTI CHALI! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, January 12, 2015

    LOW AWA KOCHA BORA WA DUNIA 2014, ANCELOTTI CHALI!

    KOCHA wa Ujerumani, Joachim Low ametajwa kuwa kocha Bora wa Mwaka wa Dunia katika sherehe za FIFA utoaji tuzo za Mwanasoka Bora wa Dunia zinazoendelea mjini Zurich, Uswisi.
    Low amewapiku makocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti na Atletico, Diego Simeone kushinda tuzo hiyo baada ya kuiongoza Ujerumani kutwaa Kombe la Dunia nchini Brazil kwa mara ya nne mwaka jana.  
    Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 54 aliisaidia Ujerumani kumaliza ukame wa miaka 18 wa kusubiri taji hilo kwa kuifungaArgentina katika Fainali, bao pekee la Mario Gotze dakika za nyongeza.
    Joachim Low (right) receives the Coach of the Year award from Ottmar Hitzfeld at the Ballon d'Or awards
    Joachim Low (kulia) akipokea tuzo ya Kocha Bora wa mwaka kutoka kwa Ottmar Hitzfeld katika usiku wa tuzo za Ballon d'Or
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LOW AWA KOCHA BORA WA DUNIA 2014, ANCELOTTI CHALI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top