• HABARI MPYA

  Wednesday, January 07, 2015

  MSUVA ALIPOGEUKA DAKTARI WA SHABA JANA AMAAN

  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva (kulia) akimfunga bandeji kipa wa Shaba, Bakari Shaweji (kushoto) mwishoni mwa kipindi cha pili kwenye mchezo wa jana wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Wakati huo timu hizo zilikuwa hazijafungana na kipa huyo alikuwa anafanya hila za kupoteza muda, ndiyo maana mchezaji huyo wa Yanga SC akajitolea kumfunga bandeji mchezo uendelee haraka. Yanga ilipata bao dakika ya 86 na kushinda 1-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA ALIPOGEUKA DAKTARI WA SHABA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top