• HABARI MPYA

  Friday, January 09, 2015

  KOCHA KWELI AKIIANDAA SIMBA SC KUBEBA 'MWALI' WA MAPINDUZI

  Kocha wa Simba SC, Mserbia Goran Kopunovic akiongoza mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Chukwani kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi kesho dhidi ya Polisi Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Kopunovic akitoa maelekezo huku Msaidizi wake, Suleiman Matola kulia akifuatilia
  Wachezaji wa Simba SC wakijifua tayari kusaka Fainali ya Kombe la Mapinduzi kesho
  Kiungo mkabaji, Jonas Mkude akijifua leo Chukwani 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA KWELI AKIIANDAA SIMBA SC KUBEBA 'MWALI' WA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top