• HABARI MPYA

  Friday, January 09, 2015

  KIKOSI BORA ULAYA, MESSI, RONALDO NDANI HAKUNA MUINGEREZA HATA MMOJA

  TIMU ya Bayern Munich imeingiza wachezaji wanne katika kikosi cha timu ya UEFA ya Mwaka  2014 huku wachezaji wale wale wakitawala kwenye kikosi, ingawa hakuna Muingereza hata mmoja.
  Wachezaji 11 walipitiwa kura na mashabiki zaidi ya Milioni 8.6 baada ya mwaka ambao Real Madrid ilitwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya.
  Cristiano Ronaldo na Sergio Ramos wameingia kwenye timu hiyo, wakati Angel di Maria, mchezaji bora wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa akiiwezesha Real kutwaa Kombe, ni mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu ya England kwa sasa aliyeteuliwa kwenye kikosi hicho.
  Real Madrid players celebrate winning the Champions League through the city after beating Atletico in May
  Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuifunga Atletico Mei mwaka jana
  The full XI from the UEFA team of the year, voted for by 8.6million fans
  Kikosi kamili cha wachezaji 11 wa timu ya Mwaka 2014 ya UEFAkilichopigiwa kura na mashabiki Milioni 8.6
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI BORA ULAYA, MESSI, RONALDO NDANI HAKUNA MUINGEREZA HATA MMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top