• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 21, 2013

  RIDHIWANI KIKWETE APEWA UENYEKITI YANGA SC

  Mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwani akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo makao makuu ya klabu ya Yanga, makutano ya mitaa ya Jangwani na Twiga baada ya kutambulishwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uendelezaji wa jengo la klabu hiyo liliopo Mtaa wa Mafia, Kariakoo, Dar es Salaam.    

  Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Mehboob Manji (kulia) akizungumza na Ridhiwani baada ya mkutano huo

  Ridhiwani akionyesha Hati ya jengo la Mafia

  Ridhiwani akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari

  Manji akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mkutano

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: RIDHIWANI KIKWETE APEWA UENYEKITI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top