• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 20, 2013

  YAYA TOURE AWAPA SIKU NNE MAN CITU VINGINEVYO ANAONDOKA


  KIUNGO Yaya Toure anatazamiwa kuondoka Manchester City baada ya jana juzi usiku kugombana na uongozi juu ya mkataba mpta.
  Mtaalamu huyo mkataba wake unamalizika mwaka 2015 lakini wakala wake anataka City impe mkataba mpya hadi kufika Jumamosi. Iwapo hawatafanya hivyo, Toure ataanza mazungumzo na klabu wa wapinzani.
  Nyota huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 29, taarifa zinafikiri hapewi heshima anayostahili, na mazungumzo ya mkataba mpya yameshindwa kufanyika katika miezi sita iliyopita. 
  Wakala Dimitri Seluk ameiambia The Sun: ‘Sifikiri kama atabaki City. Ikiwa atasaini mkataba ndani ya siku nne zijazo, Sawa. Isipokuwa hivyo, hatutasubiri muda zaidi. Tutasema, “Asante. Sawa, Yaya ataondoka Mei”.
  Powerhouse: Yaya Toure is one of Manchester City's key player
  Kiungo wa nguvu: Yaya Toure ni mmoja kati ya wachezaji tegemeo Manchester City
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: YAYA TOURE AWAPA SIKU NNE MAN CITU VINGINEVYO ANAONDOKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top