• HABARI MPYA

  Sunday, March 31, 2013

  STEVE GERRARD AING'ARISHA KWA TUTA LIVERPOOL


  KLABU ya Aston Villa inaendelea kuishi mkiani mwa Ligi Kuu ya England nafasi ya tatu kutoka chini, baada ya leo kupigwa mabao 2-1 na Liverpoolnyumbani.
  Villa ilionyesha dalili za kushinda mechi ya tatu mfululizo baada ya kupata bao la kuongoza kupitia kwa Christian Benteke dakika ya 18, lakini Wekundu wakazinduka.
  Liverpool ilisawqazisha kupitia kwa Jordan Henderson mapema kipindi cha pili, dakika ya 47 na kisha Nahodha, Steven Gerrard akafunga la ushindi kwa penalti dakika ya 60.
  Katika mchezo huo, kikosi cha Aston Villa kilikuwa: Guzan, Lowton, Vlaar, Baker, Bennett, Sylla/El Ahmadi dk76, Westwood, Bannan/Delph dk62, Weimann/N'Zogbia dk62, Benteke, Agbonlahor
  Liverpool: Reina, Johnson, Agger, Carragher, Jose Enrique, Lucas, Gerrard, Henderson, Coutinho/Sterling dk77, Downing, Suarez.
  Out of reach: Steven Gerrard puts his penalty kick past Brad Guzan

  Shujaa: Steven Gerrard akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Liverpool kwa penalti
  Out of reach: Steven Gerrard puts his penalty kick past Brad Guzan
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: STEVE GERRARD AING'ARISHA KWA TUTA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top