• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 22, 2013

  BALOTELLI AINUSURU ITALIA KUZAMA KWA BRAZIL, APIGA BONGE LA BAO SARE 2-2


  MSHAMBULIAJI Mario Balotelli alifunga bao muhimu wakati Itali inatoka nyuma na kupata sare ya 2-2 na Brazil katika mchezo safi wa kirafiki uliopigwa mjini Geneva jana.
  Ilionekana kama Brazil itashinda kutokana na kuongoza kwa mabao 2-0 hadi mapumziko, kutokana na mabao ya Fred na Oscar.
  Hata hivyo, Daniele De Rossi akapunguza la kwanza dakika ya tisa baada ya kipindi cha pili na Balotelli akasawazisha kwa shuti la umbali wa mita 25 dakika tatu baadaye, hivyo kufikisha mabao nane aliyoifungia nchi yake na klabu yake kwa mwaka huu 2013.

  VIKOSI, WAFUNGAJI...

  Italia: Buffon, Maggio, Bonucci, Barzagli,
  De Sciglio/Antonelli dk74, De Rossi/Diamanti dk80, Pirlo/Cerci dk46), Montolivo, Giaccherini/Poli dk68, Osvaldo/El Shaarawy dk46, Balotelli/Gilardino dk83.
  Bencho: De Sanctis, Abate, Giovinco, Astori, Ranocchia, Candreva, Sirigu, Marchetti.
  Kadi za njano: Maggio na Poli.
  Wafungaji: De Rossi dk54 na Balotelli dk57.

  Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Luiz, Dante,
  Filipe Luis/Marcelo dk77, Fernando, Hernanes/Gustavo dk90, Oscar/Kaka dk62, Neymar, Fred/Diego Costa dk69, Hulk/Jean dk85.
  Benchi: Cavalieri, Thiago Silva, Osvaldo.
  Kadi za njano: Fred, Hernanes na Filipe Luis.
  Wafungaji: Fred dk33 na Oscar dk42.
  Mahudhurio: 28,000
  Refa: Stephan Studer (Uswisi).

  Curler: Mario Balotelli's long-range strike completed Italy's comeback as they drew 2-2 with Brazil
  Mkwaju: Mario Balotelli akifumua shuti la mbali kuifungia Italia bao la kusawazisha katika sare ya 2-2 na Brazil
  No chance: Brazilian goalkeeper Julio Cesar was helpless as Balotelli's shot curled past him
  Kitu nyavuni: Kipa wa Brazil, Julio Cesar akiruka bila mafanikio kujaribu kudaka shuti la Balotelli 
  Comeback: Italy celebrate their equaliser with the AC Milan forward
  Opener: Brazilian striker Fred gave his team the lead in the first half in Geneva
  Bao la kwanza: Mshambuliaji wa Brazil, Fred aliifungia bao la kuongoza timu yake
  Opener: Brazilian striker Fred gave his team the lead in the first half in Geneva

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BALOTELLI AINUSURU ITALIA KUZAMA KWA BRAZIL, APIGA BONGE LA BAO SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top