• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 29, 2013

  TOTTI ASHEREHEKEA MIAKA 20 SERIE A  Francesco Totti 

  NAHODHA wa Roma, Francesco Totti jana amesherehekea miaka 20 ya kucheza Ligi Kuu Italia, maarufu kama Serie A.
  Lakini gwiji huyo wa Giallorossi, ambaye wiki iliyopita alifunga bao lake la 226 katika ligi na kushika nafasi ya pili wafungaji wa kihistoria nyuma ya Silvio Piola, amesema hayuko tayari kutungika daluga zake.
  "Nataka mkataba mpya," Totti alisema alipozungumza na Gazzetta dello Sport, ambalo jana liliongoza na habari ya mchezaji huyo na picha kubwa ya Nahodha huyo wa Roma chini ya kichwa cha habari; Tutto Totti Kitaliano, maana yake kila kitu kuhusu Totti.
  Totti mwenye majina kibao ya utani kama Il Bimbo d'Oro (The Golden Boy), Il Re di Roma (The King of Rome), and Il Gladiatore (The Gladiator), alicheza mechi ya kwanza Roma Machi 28, mwaka 1993 katika ushindi wa 2-0 ugenini dhidi ya Brescia.
  Alianza kama mshambuliaji, lakini aliyekuwa anacheza pembeni katika mfumo wa 4-3-3 wa Zdenek Zeman msimu wa 1997-98.
  Zeman alimfanya Totti Nahodha wake na alijibu kwa kumfunfgia mabao 30 katika misimu miwili, ingawa alikosa Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1998 nchini Ufaransa kabla ya kupewa tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa Serie A mwaka 1999. 

  MAFANIKIO YAKE:

  Giorgio Napolitano (kulia) akimkabidhi Totti Kombe la Italia msimu wa 2007–08
  Totti's footprint on The Champions Promenade in Monaco.

  [edit]NGAZI YA KLABU:

  MATAJI...
  USHINDI WA PILI...

  [edit]KIMATAIFA

  MATAJI...
  USHINDI WA PILI

  [edit]TUZO BINAFSI

  Ballon d'Or
  FIFA World Player of the Year
  World Soccer Award
  • 2000 – 7th
  • 2001 – 4th
  • 2007 – 7th

  [edit]REKODI

  • Serie A Active Leading Goalscorer: 226 goals
  • Roma All-Time Leading Goalscorer: 281 goals
  • Roma All-Time Leading Goalscorer in Serie A: 226 goals
  • Roma All-Time Leading Goalscorer in UEFA Champions League: 16 goals
  • Roma All-Time Leading Goalscorer in UEFA Europa League: 21 goals
  • Roma All-Time Leading Goalscorer in UEFA Competitions: 37 goals
  • Roma All-Time Appearance Maker: 668 games
  • Roma All-Time Appearance Maker in Serie A: 527 games
  • Roma All-Time Appearance Maker in UEFA Champions League: 50 games
  • Roma All-Time Appearance Maker in UEFA Europa League: 38 games
  • Roma All-Time Appearance Maker in UEFA competitions: 88 games
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: TOTTI ASHEREHEKEA MIAKA 20 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top