• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 20, 2013

  TBL YASAINI MKATABA MPYA NA BASATA KUDHAMINI TUZO ZA MUZIKI TANZANIA KWA MIAKA MITANO ZAIDI

  Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kushila Thomas (kushoto) akibadilishana Hati za mikataba ya udhamini wa tuzo za Muziki Tanzania, Kilimanjaro Premium Lager, maarufu kama Kili Music Awards na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfreu Labejo Mungereza kulia baada ya kusaini mkataba mpya wa udhamini wa tuzo hizo kwa miaka mitano ijayo hadi mwaka 2018 kuanzia Aprili 1, mwaka huu. 

  Kushila Thomas kushoto akisaini kama Labejo wa BASATA kulia

  Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe kushoto akizungumza wakati wa uzinduzi wa tuzo za Kili 2013 

  Kushila kulia na Mungereza kushoto wakizindua nembo ya Kili Music Awards ya mwaka huu

  Wanaelekezana kusaini

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: TBL YASAINI MKATABA MPYA NA BASATA KUDHAMINI TUZO ZA MUZIKI TANZANIA KWA MIAKA MITANO ZAIDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top