• HABARI MPYA

  Saturday, March 23, 2013

  MALKIA WA NYUKI KATIKA IBADA YA 'SWADAKA'

  Mfadhili wa Simba SC, Rahma Al Karoos maarufu kwa jina la Malkia wa Nyuki (kulia) akimvalisja mtoto wa kituo cha Umra jezi maalum alizowagawia watoto wa kituo hicho leo mchana katika kituo chao kilichopo Magomeni Mikumi, Dar es Salaam. Malkia aliwapa misaada ya nguo, vyakula na pamoja na kujumuika nao katika chakula cha mchana. Kushoto ni binti wa Malkia, Fatma.
  Malkia na binti yake Fatma wakifurahi na watoto wa Umra

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MALKIA WA NYUKI KATIKA IBADA YA 'SWADAKA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top