• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 18, 2013

  PROGRAMU YA STARS DHIDI YA MOROCCO HII HAPA, WAARABU HAWATOKI WALLAHI

  Salum Abubakar 'Sure Boy' mbele ya Thomas Ulimwengu

  TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itacheza mechi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwaka nchini Brazil dhidi ya Morocco Jumapili wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

  HII NDIYO PROGRAMU KAMILI YA MAANDALIZI YA MECHI HIYO;
  Jumamosi, Machi 16- Wachezaji kuanza kuripoti kambini
  Jumapili, Machi 17- Mazoezi Uwanja wa Karume- Saa 2 asubuhi
  Jumatatu, Machi 18- Mazoezi Uwanja wa Karume- Saa 9 alasiri
  Jumanne, Machi 19- Mazoezi Uwanja wa Taifa- Saa 9 alasiri
  Jumatano, Machi 20- Mazoezi Uwanja wa Taifa- Saa 2 asub na saa 9 alasiri
  Alhamisi, Machi 21- Mazoezi Uwanja wa Taifa- Saa 9 alasiri
  Ijumaa, Machi 22- Mazoezi Uwanja wa Taifa- Saa 9 alasiri
  Jumamosi, Machi 23- Mazoezi Uwanja wa Taifa- Saa 10.30 jioni
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: PROGRAMU YA STARS DHIDI YA MOROCCO HII HAPA, WAARABU HAWATOKI WALLAHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top