• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 29, 2013

  MAGWIJI WA NDONDI WALIPOKUTANA NA GWIJI WA HABARI ZA NGUMI


  The baddest man on the planet: Sportsmail's Jeff Powell with Mike Tyson
  Bondia hatari zaidi kuwahi kutokea duniani, Mike Tyson akiwa na mwandishi wa ndondi wa Sportsmail, Jeff Powell
  Big George: Foreman, the former world heavyweight champion, with Jeff
  Big George: Foreman, bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani akiwa na Jeff
  Nikolai Valuev and Jeff Powell
  Boxer Lennox Lewis with Daily Mail boxing correspondent Jeff Powell
  Jeff na magwiji: Akiwa na mabingwa wa zamani wa uzito wa juu, Nikolai Valuev na Lennox Lewis kulia
  The current kings: Wladimir and Vitali Klitschko
  Wafalme wa sasa: Wladimir na Vitali Klitschko
  With The Hitman: Talking to Ricky Hatton before his November comeback
  Akiwa na The Hitman: Akizungumza na Ricky Hatton kabla ya pambano lake la kumrejesha ulingoni Novemba
  Flying the flags with the King: With legendary promoter Don King
  Akipeperusha bendera na King: Akiwa na promota gwiji9 wa ndondi duniani, Don King
  The Cobra: Jeff speaking to Carl Froch, world super middleweight champion
  The Cobra: Jeff akizungumza na Carl Froch, bingwa wa dunia wa Super Middle
  Happier times: Jeff has long been covering David Haye's career
  Wakati wa furaha: Jeff amekuwa akiandika habari za David Haye kwa muda wote wa bondia huyo ulingoni
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAGWIJI WA NDONDI WALIPOKUTANA NA GWIJI WA HABARI ZA NGUMI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top