• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 20, 2013

  'BOSS WA UKWELI' ALHAJ YUSSUF BAKHRESA KATIKA MIPANGO KAMA ALIVYONASWA NA KAMERA YA BIN ZUBEIRY MCHANA WA LEO MITAA YA ILALA

  Wakala wa wachezaji anayetambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Alhaj Yussuf Said Salim Awadh Bakhresa akiwa katika ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zilizopo ndani ya Uwanja wa Karume, Ilala mjini Dar es Salaam mchana wa leo kwa ajili ya shughuli zake za uwakala. Hata hivyo, Bakhresa hakuwa tayari kuelezea mpango wake wowote wa sasa. Bakhresa amewahi kumpeleka Mrisho Ngassa West Ham United ya England kufanya majaribio na John Bocco 'Adebayor' Israle, ingawa wote hawakufanikiwa.

  Alhaj Yussuf uoande wa pili ndani ya gari akiwa na vijana wake wa kazi 

  Anabofya bofya simu yake...mipango tena

  Hili ndilo gari aliloibuka nalo leo TFF...

  Yussuf ni tajiri, lakini sifa yake kubwa ni mchapakazi hodari

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: 'BOSS WA UKWELI' ALHAJ YUSSUF BAKHRESA KATIKA MIPANGO KAMA ALIVYONASWA NA KAMERA YA BIN ZUBEIRY MCHANA WA LEO MITAA YA ILALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top